Nenda kwa yaliyomo

Mto Yija

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Yija ni korongo linalopatikana kaskazini mwa Kenya, kuanzia karibu na ziwa Turkana.

Hata hivyo maji yake yanaishia katika mto Jubba na hatimaye katika Bahari ya Hindi.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]