Nenda kwa yaliyomo

Mto Wamuhu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Wamuhu unapatikana katika kaunti ya Nyandarua, katikati ya Kenya.

Maji yake yanaishia katika mto Athi-Galana-Sabaki na hatimaye katika bahari ya Hindi.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]