Nenda kwa yaliyomo

Mto Twala

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Twala unapatikana katika kaunti ya Laikipia, katikati ya Kenya (eneo la Bonde la Ufa la Afrika Mashariki).

Maji yake yanaishia katika mto Jubba na hatimaye katika Bahari ya Hindi.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

    Viungo vya nje

    [hariri | hariri chanzo]