Nenda kwa yaliyomo

Mto Ngire

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Ngire ni korongo linalopatikana kaskazini mwa Kenya.

Maji yake yanaishia katika mto Jubba na hatimaye katika Bahari ya Hindi.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

    Viungo vya nje

    [hariri | hariri chanzo]