Nenda kwa yaliyomo

Mto Nairobi (Nyeri)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Nairobi (Nyeri) unapatikana katika kaunti ya Nyeri, katikati ya Kenya. Huanza juu ya Mlima Kenya na ni tawimto la mto Sagana.

Maji yake yanaishia katika mto Tana, ambao ndio mrefu kuliko yote nchini[1], na hatimaye katika Bahari Hindi.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. Rough Guide (2006). Rough Guide Map Kenya [map], 9 edition, 1:900,000, Rough Guide Map. Cartography by World Mapping Project. ISBN 1-84353-359-6.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]