Nenda kwa yaliyomo

Mto Mathioya Kusini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Mathioya Kusini unapatikana katika kaunti ya Murang'a, katikati ya Kenya.

Maji yake yanaishia katika mto Tana, ambao ndio mrefu kuliko yote nchini, na hatimaye katika bahari ya Hindi.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]