Nenda kwa yaliyomo

Mto Mathangauta

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Mathangauta unapatikana katika kaunti ya Machakos, kusini mwa Kenya.

Maji yake yanaishia katika mto Tana na hatimaye katika Bahari ya Hindi.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]