Nenda kwa yaliyomo

Mto Masosya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Masosya unapatikana katika kaunti ya Kitui, mashariki mwa Kenya.

Maji yake yanaishia katika mto Tana, ambao ndio mrefu kuliko yote nchini, na hatimaye katika bahari ya Hindi.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

    Viungo vya nje

    [hariri | hariri chanzo]