Nenda kwa yaliyomo

Mto Kibwezi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Kibwezi unapatikana katika kaunti ya Kitui, mashariki mwa Kenya.

Maji yake yanaishia katika mto Athi-Galana-Sabaki na hatimaye katika bahari ya Hindi.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]