Mto Kathita (Meru)
Mandhari
Mto Kathita (Meru) unapatikana katika kaunti ya Meru, nchini Kenya.
Ni tawimto la mto Tana ambao ndio mrefu kuliko yote nchini na unaishia katika Bahari ya Hindi.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mto Kathita (Meru) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |