Nenda kwa yaliyomo

Mto Kanyaiti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Kanyaiti unapatikana katika kaunti ya Nyeri, nchini Kenya.[1] Chanzo cha mto huo ni msitu wa Milima Aberdare upande wa Endarasha.

Mto Kanyaiti ni moja ya vijito vinavyoungana kutengeneza mto Tana, ambao ndio mto mrefu zaidi nchini Kenya, na unaelekeza maji yake Bahari Hindi kutoka eneo la milimani la katikati mwa Kenya.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Kanyaiti stream, Central, Kenya". ke.geoview.info. Iliwekwa mnamo 2019-05-31.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]