Nenda kwa yaliyomo

Mto Kangiri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Kangiri unapatikana katika kaunti ya Meru, katikati ya Kenya.

Maji yake yanaishia katika mto Tana, ambao ndio mrefu kuliko yote nchini, na hatimaye katika bahari ya Hindi.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]