Nenda kwa yaliyomo

Mto Kambogo (Embu)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Kambogo (Embu) unapatikana katika kaunti ya Embu, katikati ya Kenya.

Maji yake yanaishia katika mto Tana ambao ndio mrefu kuliko yote nchini na unaishia katika Bahari ya Hindi.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]