Mto Gatune

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Mto Gatune unapatikana katika kaunti ya Murang'a, katikati ya Kenya.

Maji yake yanaishia katika mto Tana, ambao ndio mrefu kuliko yote nchini, na hatimaye katika bahari ya Hindi.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]