Eneo la ng'ambo la Marekani
Mandhari
(Elekezwa kutoka Maeneo ya ng'ambo ya Marekani)
Maeneo ya ng'ambo ya Marekani ni visiwa na funguvisiwa vifuatavyo vinavyoorodheshwa hapa kufuatana na mahali pao ama katika Bahari ya Pasifiki au katika Bahari ya Karibi.
Sheria za Marekani zinaita visiwa hivi "Eneo la visiwani" (king.: "Insular areas"). Hii ni kila eneo chini ya mamlaka ya serikali ya Marekani lisilo sehemu ya majimbo 50 ya Marekani au mkoa wa mji mkuu.
Visiwa katika Bahari ya Karibi
[hariri | hariri chanzo]Bendera | Funguvisiwa au kisiwa |
Eneo la nchi kavu (km²) |
Hori la ndani (km²) |
Kifupi cha ISO 3166-1 |
---|---|---|---|---|
Puerto Rico | 8.959 | -- | PR | |
Visiwa vya Virgin vya Marekani | 349 | -- | VI | |
– Navassa | 5,4 | -- |
Kituo cha kijeshi cha Guantanamo kipo pia katika Karibi ni eneo la Kuba lililokodishwa kwa Marekani.
Visiwa katika Bahari ya Pasifiki
[hariri | hariri chanzo]Bendera | Funguvisiwa au kisiwa |
Eneo la nchi kavu (km²) |
Hori la ndani (km²) |
Kifupi cha ISO 3166-1 |
---|---|---|---|---|
Guam | 549 | -- | GU | |
Visiwa vya Mariana ya Kaskazini | 477 | -- | MP | |
Samoa ya Marekani | 199 | -- | AS | |
Visiwa vidogo vya nje vya Marekani | 5,4 | -- | UM | |
– Kisiwa cha Baker | 1,64 | -- | ||
– Kisiwa cha Howland | 1,85 | -- | ||
– Kisiwa cha Jarvis | 4,50 | -- | ||
– Atolli ya Johnston | 2,67 | 130 | ||
– Atolli ya Kingman | 0,01 | 100 | ||
– Atolli ya Midway | 6,20 | 40 | ||
– Atolli ya Palmyra | 3,9 | 8 | ||
– Atolli ya Wake | 6,50 | 6 |
|