11 Machi
Mandhari
(Elekezwa kutoka Machi 11)
Feb - Machi - Apr | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 11 Machi ni siku ya 70 ya mwaka (ya 71 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 295.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1866 - Charles Andler, mwanafalsafa wa Ufaransa
- 1920 - Nicolaas Bloembergen, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1981
- 1936 - Harald zur Hausen, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2008
- 1948 - Franz Lambert, mwanamuziki wa Ujerumani
- 1956 - Theodoros Kontidis, askofu Mkatoliki kutoka Ugiriki
- 1978 - Didier Drogba, mchezaji mpira wa Cote d'Ivoire
- 1986 - Evans Wadongo, mhandisi wa Kenya
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 222 - Elagabalus, Kaisari wa Dola la Roma
- 1539 - Mwenye heri Yohane Righi, padri Mfransisko kutoka Italia
- 1955 - Alexander Fleming, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1945
- 2006 - Slobodan Milosevic, Rais wa Serbia (1989-2000)
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Pioni wa Smirna, Trofimo na Talo, Konstantino wa Britania, Sofroni wa Yerusalemu, Vindisiani, Benedikto wa Milano, Oengus, Eulogi wa Kordoba, Dominiko Cam, Marko Chong Ui-bae na Aleksi U Se-yong n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 11 Machi kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |