North Carolina : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: xal:Ар Карелайн |
Xqbot (majadiliano | michango) d roboti Nyongeza: bi:Not Carolina |
||
Mstari 25: | Mstari 25: | ||
[[be:Штат Паўночная Караліна]] |
[[be:Штат Паўночная Караліна]] |
||
[[bg:Северна Каролина]] |
[[bg:Северна Каролина]] |
||
[[bi:Not Carolina]] |
|||
[[bn:নর্থ ক্যারোলাইনা]] |
[[bn:নর্থ ক্যারোলাইনা]] |
||
[[bpy:নর্থ ক্যারোলাইনা]] |
[[bpy:নর্থ ক্যারোলাইনা]] |
Pitio la 04:30, 13 Juni 2010
North Carolina (Karolina ya Kaskazini) ni jimbo la kujitawala la Marekani kwenye mwambao wa Atlantiki. Mji mkuu ni Raleigh na mji mkubwa ni Charlotte.
North Carolina ilikuwa kati ya majimbo 13 yaliyoasi dhidi ya Uingereza mwaka 1776 na kuunda Maungano ya Madola ya Amerika tangu 1789.
Imepakana na South Carolina, Georgia, Tennessee, Virginia na Bahari ya Atlantiki.
Jina limetokana na koloni ya Uingereza lililotolewa jina kwa heshima ya mfalme Charles II wa Uingereza. Kwa Kilatini "Charles ni "Carolus" au Karolo).
Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu North Carolina kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |