Vermont : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: ml:വെര്മോണ്ട് |
d roboti Badiliko: bg:Върмонт |
||
Mstari 30: | Mstari 30: | ||
[[bat-smg:Vermuonts]] |
[[bat-smg:Vermuonts]] |
||
[[be-x-old:Вэрмонт]] |
[[be-x-old:Вэрмонт]] |
||
[[bg: |
[[bg:Върмонт]] |
||
[[bn:ভার্মন্ট]] |
[[bn:ভার্মন্ট]] |
||
[[bpy:ভার্মন্ট]] |
[[bpy:ভার্মন্ট]] |
Pitio la 00:17, 20 Mei 2009
Vermont ni jimbo la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Iko katika kaskazini-mashariki ya nchi.
Mji mkuu ni Montpelier na mji mkubwa ni Burlington.
Impekana na Kanada (Quebec), New Hampshire, Massachusetts na New York.
Jimbo lina wakazi wapatao 621,270 (2008) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 24,923.
Viungo vya Nje
State of Vermont Official Website
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |