Kitabu cha Baruku
Kitabu cha Baruku ni kimojawapo kati ya vitabu vya deuterokanoni vya Agano la Kale katika Biblia ya Kikristo.
Uandishi[hariri | hariri chanzo]
Kadiri ya utangulizi wake (Bar 1:1-14), kiliandikwa na Baruku, karani wa nabii Yeremia, wakati wa uhamisho wa Wayahudi huko Babuloni katika karne ya 6 K.K..
Hata hivyo wataalamu wanaona kiliandikwa katika karne ya 2 K.K. moja kwa moja katika lugha ya Kigiriki, isipokuwa labda sehemu ya pili inatokana na andiko asili la Kiebrania.
Mazingira[hariri | hariri chanzo]
Kitabu kinatuingiza katika Uyahudi wa mtawanyiko na kutuonyesha jinsi maisha maadilifu ya kidini yalivyodumishwa kwa kuhusiana na Yerusalemu, kwa kudumisha sala na kushika Torati.
Ufafanuzi[hariri | hariri chanzo]
Kama vitabu vyote vya Biblia, hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa historia ya wokovu ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya ufunuo wa Mungu kwa binadamu.
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
- Jewish Encyclopedia: Baruch
- N.A.B. Introduction to Baruch
- Prophecy of Baruch Archived Januari 25, 2009 at the Wayback Machine. Full Text by chapter
- Latin Vulgate with Douay-Rheims freeware with bookmarking, search, and other features
- The Book of Baruch Full text from http://St-Takla.org (also available in Arabic)
- World Wide Study Bible: Baruch
- 1Baruch 2012 Translation & Audio Version
Mwanzo Kutoka Walawi Hesabu Kumbukumbu Yoshua Waamuzi Ruthu Samueli I Samueli II Wafalme I Wafalme II Mambo ya Nyakati I Mambo ya Nyakati II Ezra Nehemia TobitiDK YudithiDK Esta Wamakabayo IDK Wamakabayo IIDK Yobu Zaburi Methali Mhubiri Hekima DK SiraDK Wimbo Bora Isaya Yeremia Maombolezo BarukuDK Ezekieli Danieli Hosea Yoeli Amosi Obadia Yona Mika Nahumu Habakuki Sefania Hagai Zekaria Malaki - Alama ya DK inaonyesha vitabu vya deuterokanoni visivyopatikana katika matoleo yote ya Biblia.
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya Biblia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kitabu cha Baruku kama historia yake au athari wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |