Matini
(Elekezwa kutoka Andiko)

Matini ya Kiswahili.
Katika uandishi, matini ni kipengee kinachoweza kusomwa.
Katika utarakilishi, kichakata matini kinaweza kutoa matini.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1)