Kichakata matini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kichakata matini kinachoitwa LibreOffice Writer.

Katika utarakilishi, kichakata matini (kwa Kiingereza: word processor) ni kifaa au programu za kompyuta zinachotumika ili kuandika na kuhariri maandiko.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).