23 Juni
Mandhari
(Elekezwa kutoka Juni 23)
Mei - Juni - Jul | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 23 Juni ni siku ya 174 ya mwaka (ya 175 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 191.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1925 - Oliver Smithies, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2007
- 1928 - Michael Shaara, mwandishi kutoka Marekani
- 1937 - Martti Ahtasaari, Rais wa Ufini (1994-2000), mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 2008
- 1945 - John Garang, Rais wa kwanza wa Sudan Kusini
- 1953 - Filbert Bayi, mwanariadha kutoka Tanzania
- 1967 - Jenista Joakim Mhagama, waziri nchini Tanzania
- 1975 - Sibusiso Zuma, mchezaji mpira kutoka Afrika Kusini
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1860 - Mtakatifu Yosefu Cafasso, padri nchini Italia
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Wafiadini wa Nikomedia, Edeltruda, Bili wa Vannes, Lanfranko wa Pavia, Valero wa Onhaye, Thomas Garnet, Yosefu Cafasso n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 23 Juni kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |