Martti Ahtisaari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Martti Ahtasaari)
Martti Ahtisaari (2007).

Martti Oiva Kalevi Ahtisaari (23 Juni 1937 - 16 Oktoba 2023[1]) alikuwa Rais wa zamani (1994–2000) wa Ufini, anayefahamika zaidi kama Mwanadiplomasia na msuluhishi wa Umoja wa Mataifa. Mwaka wa 2008 amepata Tuzo ya Nobel ya Amani, kwa kazi yake ya kuleta amani ya kimataifa.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Kauranen, Anne (2023-10-16), "Finnish Nobel Peace laureate and former president Ahtisaari dies at 86", Reuters (in English), retrieved 2023-10-16 

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Martti Ahtisaari kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.