Martti Ahtisaari
Martti Oiva Kalevi Ahtisaari (amezaliwa tar. 23 Juni 1937) alikuwa Rais wa zamani wa Finland (1994–2000), anafahamika zaidi kwa kuwa kama Mwanadiplomasia wa Umoja wa Mataifa na msuluhishi. Mwaka wa 2008 amepata Tuzo ya Nobeli ya Amani, kwa kazi yake ya kuleta amani ya kimataifa.
Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]
- Martti Ahtisaari's homepage Archived 7 Oktoba 2013 at the Wayback Machine.
- Martti Ahtisaari's Project Syndicate op/eds
- Martti Ahtisaari wins 2008 Nobel Peace Prize Archived 27 Novemba 2010 at the Wayback Machine.
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
![]() |
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani wa Ulaya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Martti Ahtisaari kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
![]() |
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Martti Ahtisaari kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |