16 Juni
Mandhari
(Elekezwa kutoka Juni 16)
Mei - Juni - Jul | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 16 Juni ni siku ya 167 ya mwaka (ya 168 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 198.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 1846 - Uchaguzi wa Papa Pius IX
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1139 - Konoe, mfalme mkuu wa Japani (1142-1155)
- 1723 - Adam Smith, mwanafalsafa kutoka Uskoti
- 1897 - Georg Wittig, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1979
- 1902 - Barbara McClintock, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1983
- 1962 - Femi Kuti, mwanamuziki kutoka Nigeria
- 1971 - Tupac Shakur, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1106 - Mtakatifu Beno wa Meissen, askofu nchini Ujerumani
- 1216 - Papa Innocent III
- 1929 - Vernon Louis Parrington, mwanahistoria kutoka Marekani
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Julita na Kwiriko, Fereoli na Ferusi, Similiani, Tikoni wa Limassol, Aureo, Justina na wenzao, Aureliano wa Arles, Sekardo, Beno wa Meissen, Lutgarda, Dominiko Nguyen, Dominiko Nhi, Dominiko Mao, Visenti Tuong, Andrea Tuong n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- BBC: On This Day
- Today in Canadian History Ilihifadhiwa 17 Machi 2021 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 16 Juni kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |