John Cena

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
John Cena at a WWE house show in January 2015.jpg
Cena, katika filamu ya The Marine.

John Felix Anthony Cena (amezaliwa tar. 23 Aprili 1977 mjini West Newbury, Massachutts, Marekani) ni mwanamwereka, mwimbaji wa muziki wa Rap na pia mwigizaji wa filamu kutoka nchini Marekani.

Maswala ya Uigizaji[hariri | hariri chanzo]

Cena ameanza shughuli za uigizaji mnamo Oktoba mwaka 2003 katika kutangaza kampuni ya vinywaji iitwayo "Energy Drink" na "YJ Stinger". Ilivyofika Novemba mwaka 2006, ametoa filamu yenye kutangaza Mgahawa fulani Uitwao "Subway" ambayo filamu ilianza kurushwa hewani Januari mwaka 2007

Filamu za WWE[hariri | hariri chanzo]

Nembo ya WWE Filamu

.twelve rounds (starring) john cena

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Us-actor.svg Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu John Cena kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.