Nenda kwa yaliyomo

Kurt Angle

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kurt Angle

Kurt Steven Angle (alizaliwa 9 Machi, 1968), ni mchezaji wa zamani wa mieleka wa Marekani ambaye sasa amesajiliwa na WWE kwenye brandi ya Raw, ambapo yeye ndiye meneja wa sasa wa Raw.

Angle alishinda medali ya dhahabu katika Olimpiki ya Majira ya joto ya mwaka 1996. Yeye ndiye mpiganaji pekee mwenye medali ya dhahabu ya Olimpiki katika historia mieleka. Alipigana WWE na WWF kutoka 1998 hadi 2006.

Angle alirudi WWE 3 Aprili, 2017, kama meneja mkuu wa Raw. Bado anapigana mara chache.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kurt Angle kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.