17 Desemba
Mandhari
(Elekezwa kutoka Desemba 17)
Nov - Desemba - Jan | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 17 Desemba ni siku ya 351 ya mwaka (ya 352 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 14.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1267 - Go-Uda, mfalme mkuu wa Japani (1274-1287)
- 1908 - Willard Libby, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1960
- 1919 - Ezekiel Mphahlele, mwandishi kutoka Afrika Kusini
- 1937 - John Kennedy Toole, mwandishi kutoka Marekani
- 1942 - Muhammadu Buhari, Rais wa Nigeria (1983-1985)
- 1975 - Milla Jovovich
- 1988 - David Rudisha, mwanariadha wa Kenya
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1187 - Papa Gregori VIII
- 1830 - Simon Bolivar, mwanasiasa na mwanajeshi aliyeongoza mapambano dhidi ya ukoloni wa Hispania katika Amerika ya Kusini
- 1964 - Victor Hess, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1936
- 1987 - Marguerite Yourcenar, mwandishi na mshairi kutoka Ubelgiji
- 2010 - Captain Beefheart, mwanamuziki kutoka Marekani
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Modesti wa Yerusalemu, Wafiadini wa Eleutheropoli, Bega wa Andenne, Sturmi wa Fulda, Vivina, Yohane wa Matha, Yosefu Manyanet n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 17 Desemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |