Chelsea F.C.

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Chelsea
200px
Jina kamili Chelsea Football Club
Jina la utani The Pensioners, The Blues
Imeanzishwa Machi 10, 1905; miaka 112 iliyopita (1905-03-10)
Uwanja Stamford Bridge
(Uwezo: 41,841)
Mmiliki Roman Abramovich
Mwenyekiti Bruce Buck
Meneja Jose Mourinho
Ligi Premier League
2013-14 Premier League, 2nd
Rangi nyumbani
Rangi za safari

Chelsea Football Club ni klabu ya mpiara wa miguu ya nchini Uingereza iliyo na maskani yake Fulham, London. Klabu hii ilianzishwa mwaka 1905, na kwa miaka mingi sana imekuwa ikishiriki ligi kuu ya Uingereza. Uwanja wao wa nyumbani ni Stamford Bridge ambao una uwezo wa kuingiza watazamaji 41,837, wameutumia uwanja huu tangu klabu ilivyoanzishwa. Chelsea, kwa mara ya kwanza ilipata mafanikio makubwa mwaka 1955, ambapo walipata ubingwa wa ligi, na walishinda mataji kadhaa katika miaka ya 1960, 1970, 1990 na 2000. Klabu hii imefurahia zaidi mafanikio katika miongo miwili ilopita, kwa kushinda mataji makubwa 15 tangu mwaka 1997. Kwa nyumbani, Chelsea imeshinda ubingwa wa ligi mara nne, kombe la FA mara saba, kombe la ligi mara nne, pamoja na ngao za jamii mara nne. Na kimataifa Chelsea imeshashinda UEFA Cup Winners' Cups mara mbili, UEFA Super Cup moja, UEFA Europa League moja na UEFA Champions League moja. Chelsea ndio klabu pekee kutoka London kushinda UEFA Champions League, na ni moja kati ya klabu nne kutoka Uingereza, kuchukua makombe yote makubwa matatu ya Ulaya. Kwa kawaida Chelsea huvaa jezi ya blu, kaptula blu na soksi nyeupe. Nembo ya klabu imebadilishwa mara nyingi kulingana na wakati na kuboresha muonekano wa klabu. Nembo ya sasa inaonesha picha ya simba akiwa amebeba mkuki. Tangu Julai 2003, Chelsea imekuwa ikimilikiwa na Bilionea wa Kirusi, Roman Abramovich.

Wachezaji[hariri | hariri chanzo]

Wachezaji wa Chelsea
As of 7 January 2018.[1]

Note: Flags indicate national team as has been defined under FIFA eligibility rules. Players may hold more than one non-FIFA nationality.

Na. Nafasi Mchezaji
1 Argentina GK willy cabarello
2 Ujerumani DF Antonio rüdiger
3 Hispania DF Marcos alonso
30 Brazil DF David Luiz
7 Ufaransa MF N'golo kantè
8 Uingereza MF Ross Barkley
9 Hispania FW Alvaro morata
11 Hispania MF pedro (footballer born 1991)
12 Nigeria MF John Obi Mikel
14 Ujerumani FW André Schürrle
15 Misri MF Mohamed Salah
16 Uholanzi MF Marco van Ginkel
17 Ubelgiji MF Eden Hazard
Na. Nafasi Mchezaji
19 Kigezo:Country data SPA FW Diego Costa
21 Serbia MF Nemanja Matić
22 Brazil MF Willian
23 Australia GK Mark Schwarzer
24 Uingereza DF Gary Cahill
26 Uingereza DF John Terry (captain)
27 Uholanzi DF Nathan Aké
28 Hispania DF César Azpilicueta
31 Tanzania FW Ariri Charles
33 Ucheki DF Tomáš Kalas
40 Ureno GK Henrique Hilário
46 Uingereza GK Jamal Blackman


Tuzo[hariri | hariri chanzo]

  • Ligi Kuu (4) 1954-1955, 2004-2005, 2005-2006, 2009-2010
  • FA Cup (6) 1970, 1997, 2000, 2007, 2009, 2010
  • Kombe la Ligi (4) 1965, 1998, 2005, 2007;
  • Ngao ya Jamii (4) 1955, 2000,2005, 2009
  • UEFA Cup Winners' Cup (2) 1971, 1998
  • UEFA Super Cup (1) 1998, 1999, 2003
  • Full Members Cup (2) 1986, 1990
  • FA Youth-cup (3) 1960, 1961, 2010