Ben Chilwell

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Ben Chilwell

Benjamin James Chilwell (alizaliwa 21 Desemba 1996) ni mchezaji wa soka wa Uingereza ambaye anacheza kama beki wa klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza Leicester.

Huddersfield Town[hariri | hariri chanzo]

Mnamo 19 Novemba 2015, Chilwell alijiunga na klabu ya Soka ya ya Huddersfield Town kwa mkopo akitokea leicester city ya vijana mpaka 3 Januari 2016.

Leicester City[hariri | hariri chanzo]

Mnamo tarehe 28 Julai 2016, Chilwell alisaini mkataba mpya na klabu ya Leicester City hadi mwaka wa 2021.

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ben Chilwell kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.