Carlo Cudicini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Carlo Cudicini

Carlo Cudicini (matamshi ya Kiitalia: [karlo kuditʃini]; amezaliwa Septemba 6 1973) ni mchezaji aliyestaafu wa soka wa Italia ambaye alicheza kama kipa.

Yeye ni mtoto wa kipa wa zamani wa AC Milan Fabio Cudicini na mjukuu wa mlinzi wa Ponziana Guglielmo Cudicini.

Cudicini sasa ni balozi wa klabu na msaidizi wa kocha wa timu ya kwanza huko Chelsea.

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Carlo Cudicini kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.