Juan Mata

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Juan Mata akiwa Chelsea

Juan Manuel Mata García (alizaliwa 28 Aprili 1988) ni mchezaji wa soka wa Hispania ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya Uingereza Manchester United na timu ya taifa ya Hispania. Yeye hasa anacheza kama kiungo wa kati, mshambulia, lakini pia anaweza kucheza kama winga.

Akiwa mwanafunzi wa chuo cha vijana wa Real Madrid, Mata alichezea Real Madrid Castilla mwaka 2006-07, kabla ya kujiunga na Valencia mwaka 2007.

Mata alijiunga na klabu ya Uingereza Chelsea kwa ada iliyoaminika kuwa Milioni 28, Na msimu wake wa kwanza ulikuwa ni timu iliyoshinda Ligi ya Mabingwa ya UEFA na FA Cup. Mwaka uliofuata, Chelsea alishinda UEFA Europa League.

Baada ya kushindwa kwa Chelsea chini ya José Mourinho, Mata aliuzwa Manchester United mwezi Januari 2014, kwa ada ya £ milioni 37.1.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Juan Mata kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.