Jadon Sancho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sancho akiwa Borussia Dortmund.

Jadon Malik Sancho (alizaliwa katika mtaa wa Camberwell huko London, 25 Machi 2000) ni mchezaji wa soka wa Uingereza ambaye anacheza kama winga kwa klabu ya Uingereza, Manchester United na timu ya taifa ya Uingereza.

Sancho akiwa na miaka 15-18 alikuwa mchezaji wa vijana wa Watford na Manchester City na alisaini mkataba wake wa kwanza na Dortmund mwaka 2017. Katika msimu wake wa pili.Sancho alikuwa sehemu ya timu ya vijana wa Uingereza ambayo ilishinda Kombe la Dunia ya 2017 FIFA chini ya miaka 17.

Mchezaji huyu ana urefu wa mita 1.8 na mzazi wake moja anaitwa Sean Sancho.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jadon Sancho kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.