Borussia Dortmund

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nembo ya Borussia Dortmund

Borussia Dortmund ni klabu ya mpira wa miguu ya nchini Ujerumani. Ni klabu ya michezo ya kitaalamu ya Ujerumani iliyoko jiji la Dortmund,Inajulikana zaidi kwa timu yake ya mpira wa miguu ya wanaume, ambayo inacheza katika Bundesliga. Klabu hiyo imeshinda michuano minane ya ligi, makombe matano ya DFB-Pokals, kombe moja la Ligi ya mabingwa barani Ulaya UEFA, Kombe moja la mabara(International club cup), na Kombe la Washindi wa UEFA Cup.[1]Rangi za Borussia Dortmund ni nyeusi na njano.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "The fourth biggest club in the world". bvb.de. 28 Novemba 2016. Iliwekwa mnamo 29 Novemba 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "The top 50 average attendances in football over the last five years". 12 Aprili 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Borussia Dortmund kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.