Nenda kwa yaliyomo

Frank Lampard

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Frank Lampard
Senior career*
MiakaTimuApps(Gls)
1994–2001West Ham United148(24)
2001-Chelsea Fc363(125)
Timu ya Taifa ya Kandanda
1999Timu ya taifa ya soka ya Uingereza90(23)
* Senior club appearances and goals counted for the domestic league only.
† Appearances (Goals).
Lampard mwaka 2017

Frank Lampard, (alizaliwa Romford, London, 20 Juni 1978) ni mwanakandanda wa Uingereza na anazichezea klabu ya Kiingereza Chelsea FC na timu ya taifa ya Uingereza.