Stamford Bridge

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Stamford Bridge

Stamford Bridge (/ˈstæm.fərd ˈbrɪdʒ /) ni uwanja wa mpira ambao uko Fulham, London, kusini-magharibi mwa Uingereza.

Ni uwanja wa nyumbani wa Chelsea F.C.. Uwanja uko ndani ya mali ya Park Moore, pia inajulikana kama Walham Green na ni mara nyingi hujulikana kama The Bridge.