Adapazarı

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 23:54, 9 Machi 2013 na Addbot (majadiliano | michango) (Bot: Migrating 46 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q175323 (translate me))
Adapazarı

Adapazarı ni mji uliopo mjini kaskazini-magharibi mwa nchi ya Uturuki na ndiyo mji mkuu wa Jimbo la Sakarya. Jimbo lenyewe kiasili lilijipa jina la Adapazarı vilevile. Hesabu iliofanyika mnamo mwaka wa 2008 ilionyesha idadi ya wakazi wanaoishi hapa kuwa takriban 391,102. Mjini hapa pia kuna kiwanda kikubwa cha magari kinachomilikiwa na Toyota Motor Corporation.

Viungo vya Nje


Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Adapazarı kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.