15 Februari
Mandhari
Jan - Februari - Mac | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | ||||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 15 Februari ni siku ya arubaini na sita ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 319 (320 katika miaka mirefu).
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 1775 - Uchaguzi wa Papa Pius VI
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1368 - Kaisari Sigismund wa Ujerumani
- 1622 - Moliere, mshairi kutoka Ufaransa
- 1845 - Elihu Root, mwanasiasa Mmarekani na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1912
- 1861 - Charles Édouard Guillaume, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1920
- 1873 - Hans von Euler-Chelpin, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1929
- 1915 - Robert Hofstadter, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1961
- 1948 - Tino Insana, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1969 - Birdman, mwanamuziki kutoka Marekani
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1145 - Papa Lucius II
- 1637 - Kaisari Ferdinand II wa Ujerumani
- 1857 - Mikhail Glinka, mtunzi wa muziki kutoka Urusi
- 1959 - Owen Richardson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1928
- 1965 - Nat King Cole, mwanamuziki kutoka Marekani
- 1988 - Richard Feynman, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1965
- 1999 - Henry Kendall, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1990
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Onesimo, Faustini na Jovita, Isicho na wenzake, Joja wa Clermont, Kwinidi, Severo wa Antrodoco, Dekoroso wa Capua, Wilfrido, Sifredi, Klaudio wa Colombière n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- BBC: On This Day Archived 5 Machi 2007 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 15 Februari kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |