Robert Hofstadter

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Robert Hofstadter

Robert Hofstadter (15 Februari 191517 Novemba 1990) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza sehemu za atomu. Mwaka wa 1961, pamoja na Rudolf Mössbauer alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Robert Hofstadter kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.