Nenda kwa yaliyomo

Rudolf Mössbauer

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rudolf Mössbauer

Rudolf Ludwig Mössbauer (amezaliwa 31 Januari 1929) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa alichunguza sehemu za atomu. Mwaka wa 1961, pamoja na Robert Hofstadter alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.


Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rudolf Mössbauer kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.