Soko la hisa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Soko la Hisa)
New York Stock Exchange ni soko la hisa lenye biashara nyingi duniani.

Soko la hisa (kwa Kiingereza "stock exchange") ni mahali pa biashara ya hisa za makampuni.

Mara nyingi "soko la hisa" lamaanisha taasisi au jengo ambako biashara hii inafanywa. Lakini jina hili laweza pia kumaanisha jumla ya biashara ya hisa katika nchi fulani au katika tawi la uchumi (ing. "share / stock market") kwa kujumlisha taasisi mbalimbali katika nchi au biashara kwa njia ya intaneti.

Masoko ya hisa muhimu ya kimataifa[hariri | hariri chanzo]

Masoko ya hisa muhimu zaidi barani Afrika[hariri | hariri chanzo]

Kwa jumla kuna masoko ya hisa 29 barani Afrika yanayohudumia nchi 38.

Kuna masoko ya hisa 2 ya kikanda ambayo ni:

Masoko ya hisa ya kwanza katika Afrika yaliundwa Misri (mwaka 1883), Afrika Kusini (mwaka 1887) na Moroko (1929).

Nchi/ Kanda Soko la Hisa Mahali lilianzishwa Idadi ya makampuni Kiungo
Soko la hisa la Afrika Magharibi Bourse Régionale des Valeurs Mobilières Abidjan (Bendera ya Côte d'Ivoire Côte d'Ivoire) 1998 39 BRVM
Bendera ya Algeria Algeria Soko la hisa Algiers Algiers 1997 3 SGBV
Bendera ya Botswana Botswana Soko la hisa Botswana Gaborone 1989 44 BSE
Bendera ya Kamerun Cameroon Soko la hisa Douala Douala 2001 2 DSX
Bendera ya Misri Egypt Soko la hisa Misri Kairo, Aleksandria 1883 EGX Archived 22 Oktoba 2011 at the Wayback Machine.
Bendera ya Cabo Verde Cape Verde Soko la hisa Cabo Verde Mindelo BVC
Bendera ya Eswatini Eswatini Soko la hisa Eswatini* Mbabane 1990 10 ESE Archived 19 Juni 2021 at the Wayback Machine.
Bendera ya Ghana Ghana Soko la hisa Ghana Accra 1990 28 GSE
Bendera ya Kenya Kenya Soko la hisa Nairobi Nairobi 1954 50 NSE
Bendera ya Libya Libya Soko la hisa Libya Tripoli 2007 7 LSM Archived 14 Januari 2018 at the Wayback Machine.
Bendera ya Malawi Malawi Soko la hisa Malawi Blantyre 1995 8 MSE
Bendera ya Morisi Mauritius Soko la hisa Morisi Port Louis 1988 40 SEM
Bendera ya Moroko Morocco Soko la hisa Casablanca Casablanca 1929 81 Casa SE Archived 24 Agosti 2009 at the Wayback Machine.
Bendera ya Msumbiji Mozambique Soko la hisa Msumbiji Maputo 1999 BVM
Bendera ya Namibia Namibia Soko la hisa Namibia Windhoek 1992 NSX
Bendera ya Nigeria Nigeria Soko la hisa Abuja Abuja 1998 ASCE Archived 1 Februari 2007 at the Wayback Machine.
Soko la hisa Nigeria Lagos 1960 223 NSE Archived 6 Oktoba 2020 at the Wayback Machine.
Bendera ya Rwanda Rwanda Soko la hisa Rwanda Kigali 2005 4 RSE
Bendera ya Shelisheli Seychelles Soko la hisa Shelisheli* Victoria 2012 10 SSE Archived 27 Oktoba 2012 at the Wayback Machine.
Bendera ya Afrika Kusini South Africa Soko la hisa Johannesburg Johannesburg 1887 410 JSE
Bendera ya Sudan Sudan Soko la hisa Khartum Khartum KSE Archived 27 Novemba 2012 at the Wayback Machine.
Bendera ya Tanzania Tanzania Soko la hisa Dar es Salaam Dar es Salaam 1998 17 DSE
Bendera ya Tunisia Tunisia Soko la hisa Tunisia Tunis 1969 56 BVMT
Bendera ya Uganda Uganda Soko la hisa Uganda Kampala 1997 14 USE
Bendera ya Zambia Zambia Soko la hisa za kilimo Zambia Lusaka 2007 ZAMACE
Soko la hisa Lusaka Lusaka 1994 16 LuSE
Bendera ya Zimbabwe Zimbabwe Soko la hisa Zimbabwe Harare 1993 81 ZSE

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Soko la hisa kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.