Douala
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Douala ni mji mkubwa wa Kamerun ikiwa na wakazi 1,338,144 (2005). Iko kilometa 24 kutoka bahari kwenye mdomo pana wa mto Wouri unaokomea kwenye Ghuba ya Guinea ya Atlantiki. Bandari yake inaifanya kuwa kitovu cha uchumi wa Kamerun.
Wakati wa ukoloni wa Kijerumani ilikuwa mji mkuu wa Kamerun.
| Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Douala kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |