Nenda kwa yaliyomo

Watawala wa Ethiopia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Orodha ya hapo chini inataja watawala wa Ethiopia tangu nasaba ya Zagwe.

Wafalme wa Aksum na wafalme wa D’mt hawaorodheshwi kutokana na mapengo mengi; tena hakuna uhakika kuhusu mfululizo wao.

(Majina yaliyoandikwa na herufi mlazo yanarejea ama watawala walioasi mtawala rasmi ama watawala wasiotambuliwa na wengi.)

Kipindi Jina la Kuzaliwa Jina la Utawala Maelezo
Nasaba ya Zagwe
Hakuna maafikiano kuhusu vipindi vya watawala wakati wa nasaba ya ZagweMara Takla Haymanot
Tatadim
Jan Seyum
Germa Seyum
Yemrehana Krestos
Kedus Harbe
Gebra Maskal Lalibela
Na'akueto La'ab
Yetbarak
Mairari
Harbai
Nasaba ya Solomoni
1270 hadi 1285Yekuno AmlakTasfa Iyasus
1285 hadi 1294Yagbe'u SeyonSalomon I
1294 hadi 1295Senfa Ared IV
1295 hadi 1296Hezba Asgad
1296 hadi 1297Qedma Asgad
1297 hadi 1298Jin Asgad
1298 hadi 1299Saba Asgad
1299 hadi 1314Wedem Arad
1314 hadi 1344Amda Seyon IGabra Masqal I
1344 hadi 1372Newaya KrestosSayfa Ar`ed
1372 hadi 1382Newaya MaryamWedem Asfare; au
Gemma Asfare
1382 hadi 1413Dawit I
1413 hadi 1414Tewodros IWalda Ambasa Alitawala miezi 9 tu.
1414 hadi 1429Yeshaq I
(Isaac)
Gabra Masqal II
1429 hadi 1430Andreyas
(Andrew)
Alitawala miezi 4 au 6 tu.
1430 hadi 1433Takla MaryamHezba Nan
1433 Sarwe IyasusMehreka Nan
1433 hadi 1434Amda IyasusBadel NanAlitawala miezi 8 tu.
1434 hadi 1468Zara YaqobKuestantinos I
(Constantine I)
Kuanzia mfalme huyu kuna uhakika wa tarehe za vipindi vya utawala.
1468 hadi 1478Baeda Maryam I
1478 hadi 1494EskenderConstantine II
1494 Amda Seyon IIAlitawala miezi 6 au 7 tu.
1494 hadi 1508Na'od
1508 hadi 1540Dawit II
(David II)
Lebna Dengel
3 Septemba 1540 hadi 23 Machi 1559Gelawdewos
(Claudius)
Asnaf Sagad I
1559 hadi 1563MenasAdmas Sagad I
1563 hadi 1597Sarsa DengelMalak Sagad I
1597 hadi 1603Yaqob
(Jacob)
Malak Sagad II
1603 hadi 1604Za DengelAsnaf Sagad II
1604 hadi 1606Yaqob
(Jacob)
Malak Sagad IIAlirudishiwa utawala
1606 hadi 1632SusenyosMalak Sagad III Alivishwa taji 18 Machi 1608
1632 hadi 1667Fasilides
(Basilides)
`Alam Sagad
1667 hadi 1682Yohannes I
(John I)
A'ilaf Sagad
19 Julai 1682 to
13 Oktoba 1706
Iyasu I
(Iyasu the Great)
Adyam Sagad II
1685Yeshaq Iyasu ?Alikuwa muasi
27 Machi 1706 hadi
30 Juni 1708
Tekle Haymanot ILe`al Sagad
Septemba 1707 Amda SeyonAlikuwa muasi
1 Julai 1708 hadi
14 Oktoba 1711
Tewoflos
(Theophilus)
Walda Ambasa
1709 hadi Julai 1710Nebahne YohannesAlikuwa muasi
14 Oktoba 1711 hadi 19 Februari 1716Yostos
(Justus)
Sahay Sagad Hakuwa mtawala wa nasaba ya Solomoni; alimpindua Tewoflos.
8 Februari 1716 hadi 18 Mei 1721 Dawit IIIAdabar Sagad
18 Mei 1721 hadi 1730BakaffaAsma Sagad au
Masih Sagad
19 Septemba 1730 hadi 26 Juni 1755Iyasu II
(Joshua II)
`Alem Sagad
1736 hadi 1737Atse HezqeyasAlikuwa muasi
Zemene Mesafint (Kipindi cha Wana Wafalme)
26 Juni 1755 hadi
7 Mei 1769
Iyoas I
(Joas)
Adyam Sagad
7 Mei hadi
18 Oktoba 1769
Yohannes II
(John II)
18 Oktoba 1769 hadi Juni 1770Tekle Haymanot IIAdmas Sagad III
Juni hadi Desemba 1770Susenyos II
18 Oktoba 1769 hadi 13 Aprili 1777Tekle Haymanot IIAdmas Sagad IIIAlirudishiwa utawala.
13 Aprili 1777 hadi 20 Julai 1779Salomon II
(Solomon II)
20 Julai 1779 hadi 8 Februari 1784Tekle Giyorgis I
16 Februari 1784 hadi 24 Aprili 1788Iyasu III
(Joshua III)
1787 hadi 1788Atse IyasuAlimpinga Iyasu III
1787 hadi 1788Atse Baeda MaryamAlimpinga Iyasu III
Februari 1788 hadi 1789Tekle Haymanot wa GondarAlimpinga Iyasu III
24 Aprili 1788 hadi 26 Julai 1789Tekle Giyorgis IAlirudishiwa utawala
26 Julai 1789 hadi Januari 1794Hezqeyas
(Hezekiah)
Januari 1794 hadi 15 Aprili 1795Tekle Giyorgis IAlirudishiwa utawala
15 Aprili hadi Desemba 1795Baeda Maryam II
Desemba 1795 hadi 20 Mei 1796Tekle Giyorgis IAlirudishiwa utawala
20 Mei 1796 hadi 15 Julai 1797Salomon III
(Solomon III)
18 Agosti 1797 hadi 4 Januari 1798Yonas
(Jonah)
4 Januari 1798 hadi 20 Mei 1799Tekle Giyorgis IAlirudishiwa utawala
20 Mei 1799 hadi 15 Julai 1799Salomon III
(Solomon III)
Alirudishiwa utawala
25 Julai 1799 hadi 24 Machi 1800Demetros
(Demetrius)
24 Machi hadi Juni 1800Tekle Giyorgis IAlirudishiwa utawala
Juni 1800 hadi Juni 1801DemetrosAlirudishiwa utawala
Juni 1801 hadi 3 Juni 1818Egwale Seyon
19 Juni 1818 hadi 3 Juni 1821Iyoas II
(Joas II)
3 Juni 1821 hadi Aprili 1826Gigar
Aprili 1826Baeda Maryam III
Aprili 1826 hadi 18 Juni 1830GigarAlirudishiwa utawala
18 Juni 1830 hadi 18 Machi 1832Iyasu IV
(Joshua IV)
18 Machi 1832 hadi 8 Juni 1832Gebre Krestos
Oktoba 1832 hadi 29 Agosti 1840Sahla Dengel
1832Egwale AnbesaAlikuwa muasi
30 Agosti 1840 hadi Oktoba 1841Yohannes III
(John III)
Oktoba 1841 hadi 1845Sahle DengelAlirudishiwa utawala
1845Yohannes III
(John III)
Alirudishiwa utawala
1845 hadi 1850Sahle DengelAlirudishiwa utawala
1850 hadi 1851Yohannes III
(John III)
Alirudishiwa utawala
1851 hadi 11 Februari 1855Sahle DengelAlirudishiwa utawala
Nasaba ya Tewodros
9 Februari 1855 hadi 13 Aprili 1868Kasse HailuTewodros II
(Theodore II)
Nasaba ya Zagwe
11 Juni 1868 hadi 11 Julai 1871Wagshum GobezeTekle Giyorgis II
Nasaba ya Tigray
11 Julai 1871 hadi 9 Machi 1889Kassa MerchaYohannes IV
(John IV)
Nasaba ya Solomoni
9 Machi 1889 hadi 12 Desemba 1913Sahle MaryamMenelik IIAlikuwa Mfalme wa Shewa kabla hajawa Mfalme Mkuu wa Uhabeshi.
12 Desemba 1913 hadi 27 Septemba 1916Lij Kifle YaqubIyasu V
(Joshua V)
Hakuvishwa taji; aliuzuliwa na malodi kwa kibali cha Kanisa la Kiorthodox la Uhabeshi.
27 Septemba 1916 hadi 2 Aprili 1930Askala MaryamZauditu, Mfalme Mkuu wa kike
2 Aprili 1930 hadi 2 Mei 1936Tafari MakonnenMfalme Mkuu Haile SelassieAlivishwa taji 2 Novemba 1930
Kumiliki kwa Waitalia
9 Mei 1936 hadi 5 Mei 1941Viktor Emmanuel III, Alidai cheo cha "Mfalme Mkuu wa Uhabeshi"Hakutambuliwa na wote duniani; aliacha cheo hicho mwaka wa 1943.
Nasaba ya Solomoni
5 Mei 1941 hadi 12 Septemba 1974Tafari MekonnenHaile SelassieAlirudishiwa utawala; baadaye aliuzuliwa na Derg.
12 Septemba 1974Asfa WossenAmha SelassieAliteuliwa na Derg, lakini hakuchukua madaraka (alitangazwa Mfalme Mkuu uhamishoni Aprili 1989, alifariki Februari 1997)
Kipindi Jina Cheo Maelezo
Jamhuri ya Uhabeshi
12 Septemba 1974 hadi 17 Novemba 1974Aman Mikael AndomMwenyekiti wa Kamati ya Jeshi
17 Novemba 1974 hadi 28 Novemba 1974Mengistu Haile MariamMwenyekiti wa Kamati ya Jeshikipindi cha kwanza
28 Novemba 1974 hadi 3 Februari 1977Tafari BentiMwenyekiti wa Kamati ya Jeshi
11 Februari 1977 hadi 10 Septemba 1987Mengistu Haile MariamMwenyekiti wa Kamati ya Jeshikipindi cha pili
10 Septemba 1987 hadi 21 Mei 1991Mengistu Haile MariamRais
21 Mei 1991 hadi 28 Mei 1991Tesfaye Gebre KidanRais Mtendaji
28 Mei 1991 hadi 22 Agosti 1995Meles ZenawiRais wa Muda
22 Agosti 1995 hadi 8 Oktoba 2001Negasso GidadaRais
8 Oktoba 2001 hadi sasaGirma Wolde-Giyorgis LuchaRais