Nenda kwa yaliyomo

Sahle Dengel

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Sahla Dengel)

Sahle Dengel alikuwa mfalme wa Ethiopia kuanzia Oktoba 1832 alipomfuata kaka yake Gebre Krestos. Tangu 1840 hadi 11 Februari 1855, yeye na binamu yake Yohannes III waliondoshana madarakani na kurudishiwa utawala mara kwa mara. Aliyewafuata ni Tewodros II.

Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Uhabeshi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sahle Dengel kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.