Nenda kwa yaliyomo

Tewodros II

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tewodros II

Tewodros II (takriban 181813 Aprili 1868) alikuwa mfalme mkuu wa Uhabeshi kuanzia 11 Februari 1855 hadi kifo chake. Alimfuata Yohannes III aliyeuzuliwa naye. Jina lake la kubatizwa lilikuwa Kassa Haile Giyorgis.

Ingawa hakuwa mrithi wa ufalme aliwashinda wagombea wote vitani. Waingereza walipovamia nchi chini ya kamanda Robert Napier na kushinda jeshi la Uhabeshi, Tewodros II alijiua.

Aliyemfuata ni Tekle Giyorgis II.

Taswira ya Kiitalia ya Ras Kassa.
Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Uhabeshi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tewodros II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.