Gebre Krestos
Mandhari
Gebre Krestos alikuwa mfalme wa Ethiopia kuanzia tarehe 18 Machi 1832 alipomfuata Iyasu IV, hadi kifo chake tarehe 8 Juni 1832. Aliyemfuata ni mdogo wake, Sahle Dengel.
Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Uhabeshi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Gebre Krestos kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |