Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro

Majiranukta: 03°25′46″S 37°04′28″E / 3.42944°S 37.07444°E / -3.42944; 37.07444
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro
English: Kilimanjaro International Airport
IATA: JROICAO: HTKI
WMO: 63791
Muhtasari
Aina Matumizi ya Umma
Mmiliki/Opareta Kampuni ya Maendeleo ya Kilimanjaro Airport (KADCO)
Mahali Wilaya ya Hai, Tanzania
Kitovu cha Precision Air
Mwinuko 
Juu ya UB
2,932 ft / 894 m
Anwani ya kijiografia 03°25′46″S 37°04′28″E / 3.42944°S 37.07444°E / -3.42944; 37.07444
Tovuti kilimanjaroairport.go.tz
Ramani
JRO is located in Tanzania
JRO
JRO
Mahali ya uwanja nchini Tanzania
Njia ya kutua na kuruka ndege
Mwelekeo Urefu Aina ya
barabara
m ft
09/27 3,600 11 811 Lami
Takwimu (2011)
Idadi ya abiria 650,000

Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (Kilimanjaro International Airport - KIA) unahudumia eneo la mlima Kilimanjaro pamoja na miji ya Moshi na Arusha katika Tanzania ya kaskazini. .

Ni uwanja mdogo unaofikiwa zaidi na ndege za nchini Tanzania. Makampuni ya kimataifa yanayohudumia KIA ni hasa KLM kutoka Amsterdam, Ethiopian Airlines kutoka Addis Ababa, Kenya Airways, Airkenya Express, Qatar Airways, Condor Flugdienst, RwandAir na Turkish Airlines. kuanzia mwaka 1980

Mwaka 2004 abiria 294.750 walitumia uwanja huu. Hivyo ulikuwa uwanja wa ndege wa pili katika Tanzania baada ya uwanja wa Dar es Salaam.

Makampuni ya ndege na vifiko

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu: