Suni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Suni
Dume la suni mashariki (Neotragus moschatus)
Dume la suni mashariki
(Neotragus moschatus)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mamalia (Wanyana wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Oda: Artiodactyla (Wanyama wenye vidole viwili au vinne mguuni)
Nusuoda: Ruminantia (Wanyama wanaocheua)
Familia: Bovidae (Wanyama walio na mnasaba na ng'ombe)
J. E. Gray, 1821
Nusufamilia: Antilopinae (Wanyama wanaofanana na swala)
Jenasi: Neotragus (Suni)
C. H. Smith, 1827
Ngazi za chini

Spishi 3:

N. batesi de Winton, 1903
N. moschatus Von Düben, 1846
N. pygmaeus (Linnaeus, 1758)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Suni ni wanyamapori wadogo sana wa jenasi Neotragus katika familia Bovidae. Wanyama hawa ni wadogo kabisa wa Bovidae (kimo sm 25–40 begani, urefu sm 40–60 na uzito kg 2.5–5.5). Wanatokea misitu minyevu na mikavu ya Afrika kusini kwa Sahara yenye kichaka kizito. Dume ana pembe fupi kwa urefu wa sm 3.5 hadi 13 kuhusiana spishi. Rangi yao ni kahawianyekundu lakini nyeupe upande wa chini. Suni hula majani, macho ya maua, machipukizi, nyoga, manyasi na mimea.

Spishi[hariri | hariri chanzo]

Picha[hariri | hariri chanzo]

Crystal Clear app babelfish vector.svg Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Suni kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Ili kupata maelezo kuhusu masanduku ya uanapwa ya spishi angalia: Wikipedia:WikiProject Mammals/Article templates/doc.