Majadiliano ya kigezo:Artiodactyla

Page contents not supported in other languages.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ondoleo la kting voar[hariri chanzo]

Ningependa kuondoa kitomeo cha "kting voar" (Pseudonovibos spiralis) kutoka kigezo hiki. Nafikiri kwa sasa imekubaliwa kwamba hakuna kting voar, na hakukuwa na mnyama huyo, kamwe. ITIS haitaji kting voar katika orodha ya spishi halali, na makala kadhaa yanasema ithibati ya kting voar ilitengenezwa na binadamu (kwa mfano en:Kting voar).Rberetta (majadiliano) 06:24, 25 Novemba 2014 (UTC)Reply[jibu]