Mtumiaji:Rberetta

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lugha
en This user is a native speaker of English.


sw-2 Mtumiaji huyu anaweza kushiriki kwa Kiswahili cha kiwango cha katikati.

Mimi ni RBeretta, fundi wa Kiswahili kibaya! Mimi ni Mmarekani niliyejifunza kusema Kiswahili nilipofanya kazi ya kufundisha utumizi wa kompyuta katika Chuo cha Ualimu Morogoro, Tanzania.

Bado, mimi ni mwanafunzi wa Kiswahili tu. Ninaendelea kudurusu Kiswahili kwa kusoma kurasa za Wikipedia ya Kiswahili. Mara nyingi, naona makosa ya tahajia katika kurasa hizo kwa sababu hakuna njia kutumia kompyuta kuangalia tahajia ya Kiswahili. Kwa hiyo, nimefanya maharirio madogo mengi katika kurasa hizo kuzisahihisha.

Ninajaribu kufanya maharirio tu nikiwa na uhakika kabisa kwamba tahajia ya sasa ni kosefu. Sifanyi maharirio ya sarufi kwa sababu sina uhakika kwamba ninaweza kuyafanya kwa usahihi. Nikifanya haririo kosefu, nitaomba sana msamaha!

Ukiona haririo nililofanya kwa makosa, tafadhali niambie mara moja.


Kurasa za kazi zangu.

Ukurasa mpya.